Karibu kwenye ukurasa wetu wa shindano la Fika na FINCA

Fika na FINCA ni kampeni ambayo inalenga kuwawezesha wateja wetu kufikia malengo yao binafsi na hata ya kibiashara kwa kutumia huduma na bidhaa za FINCA.

Kampeni hii ni zawadi kwa wateja wetu ambayo itadumu kwa muda wa miezi miwili.

Benki ya FINCA imeungana na makampuni mbalimbali ya vyombo vya usafiri kama Isamilo Bus Express, NEW FORCE, Ngorika, Auric Air na Air Tanzania kukuletea shindano la FIKA NA FINCA kwa washiriki kujishindia tiketi ya kwenda na kurudi.

Ili kushiriki kwenye shindano hili unapaswa kusafiri na usafiri tajwa hapo juu kisha kupiga picha tiketi yako yenye nembo ya Fika Na FINCA na uiposti kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter na Instagram kwa kutumia hashtag husika #FikaNaFINCA. Picha itakayopata likes nyingi zaidi kwa wiki kujishindia tiketi ya kwenda na kurudi.

Kujua vigezo na masharti, bonyeza hapa

 
©2017 FINCA Microfinance Bank
Privacy Policy