BENKI ILIYO KARIBU NA MLANGONI KWAKO
FINCA Express Wakala ni mtandao wa Huduma za Kibenki kwa Wakala ambazo zinatumia vifaa vya Mauzo ambavyo vinakuwezesha kupata huduma zetu mahali ulipo, kwa muda wako.
Sasa unaweza kuweka pesa, kutoa, kuhamishia fedha zako katika akaunti nyingine, kupata taarifa fupi ya fedha, na kuuliza salio lako wakati wowote.