CCO FINCA na Wamiliki wa Shule Binafsi Arusha
Mapema leo jumatatu tarehe 11/12/2023, Mkuu wa kitengo cha biashara
Mapema leo jumatatu tarehe 11/12/2023, Mkuu wa kitengo cha biashara
Agent networks in Africa have increasingly become the delivery channel of choice for MFIs as they represent a low-cost alternative to brick-and-mortar branches.
Weka akiba kwa malengo na upate riba kutimiza malengo yako. Piga*150*88# kisha chagua namba 7 kupata huduma hii.
Katika kipindi cha janga hili la CORONA kama Benki tumeendelea kuchukua tahadhari zote muhimu za kuwalinda wafanyakazi na wateja wetu ikiwemo wafanyakazi kuvaa barakoa, gloves, matawini tumeweka maji tiririka, sabuni na sanitizer kusafisha mikono. #Epukacorona