DHAMIRA
Dhamira ya kimataifa ya FINCA ni kupunguza umaskini kwa kutumia masuluhisho yanayodumu ambayo yanawasaidia watu kuimarisha mali, kutengeneza ajira na kuongeza kiwango chao cha kuishi.
KUSUDI
Kusudi la FINCA Impact Finance ni kuwa benki isiyobadilika inayoilenga jamii ambayo kwa faida na uwajibikaji inatoa huduma za kifedha kwa ubunifu na kuleta mabadiliko ili kuwawezesha watu na jamii ya kipato cha chini kuwekeza katika mustakabali wao.
MAADILI YA MSINGI
- Kuwekeza katika umuhimu wa watu.
- Kuimarisha uhusiano unaoaminika kwa muda mrefu.
- Kuhudumia zaidi ya maeneo yetu.
- Kuendelea kukua na kujifunza.
- Kuwa wabunifu na kuendelea kuboresha huduma.
- Kupongeza uadilifu, uwajibikaji na kujituma.
- Kutia fora kwa tunalolifanya.
- Kuvutia na kufurahisha kwa huduma zetu.