NJIA YA KIOTOMATI YA DIJITI (DFA)
DFA inairuhusu benki kutoa uzoefu thabiti kwa wateja – wateja hawahitaji kutembelea tawi la benki kwa ajili ya kuomba mkopo – tunatoa huduma za fedha nyumbani kwako au mahali pako pa biashara.
SIFA ZA KUKOPA NA UCHANGANUZI WA DATA
Teknolojia ambayo inaongeza ufanisi katika kuandaa mkopo kwa kuzingatia tabia za mkopaji kuhusiana na historia yake ya ukopaji.